[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » EDUCATION » GENERAL EDUCATION » IJUE SIRI YA KINYONGA NA UBADILISHAJI WAKE WA RANGI
IJUE SIRI YA KINYONGA NA UBADILISHAJI WAKE WA RANGI
AdminDate: Monday, 29/Jul/2013, 17:54 | Message # 1
Sergeant
Messages: 30
Awards: 5
Reputation: 1
Status: Offline
Kinyonga ni kiumbe aliye katika kikundi cha mijusi (mfano:
Mamba, Kenge, mjusi mwenyewe) ambaye ana uwezo wa kubadilisha rangi yake na
kuzungusha macho yake kwa mizunguko tofauti, tofauti na wanyama wengine kwamba
macho huzunguka kwa kufuatana, Lakini kinyonga na uwezo wa kuzungusha kila
jicho upande wake.

Kinyonga habadilishi rangi kwa hiari yake, tofauti
na watu wanavyofikiria, ubadilikaji wa rangi hutokana na mwanga, joto na
msisimko wa neva zake kutokana na njaa au uwoga. Haihusiani na sehemu ambayo
kinyonga yupo.

Katika hali ya kawaida, ngozi yake iliyo rafu
(rough skin) ni ya kijani iliyochanganyika na hudhurungi iliyofifia. Katika
hali ya hofu na uwoga rangi yake hubadilika na kuwa kijani iliyoiva. Hubadilika
rangi hiyo kuwa hudhurungi au manjano iliyofifia katika hali ya njaa, joto la
chini na jua kali.
 
Kinyonga ana rangi gani?  Click Here to read this full article

 
JuddyDate: Monday, 29/Jul/2013, 17:56 | Message # 2
Sergeant
Messages: 25
Awards: 0
Reputation: 0
Status: Offline
wooow Admin so interesting.... rah

Never Trust 100% for first time meeting, Remember Even long finger nails can be hidden behind.
 
Forum » EDUCATION » GENERAL EDUCATION » IJUE SIRI YA KINYONGA NA UBADILISHAJI WAKE WA RANGI
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: