[ New messages · Members · Forum rules · Search · RSS ]
  • Page 1 of 1
  • 1
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » hahaha Nimeikopi sehemu hii mh!
hahaha Nimeikopi sehemu hii mh!
badshahDate: Thursday, 18/Jul/2013, 21:14 | Message # 1
Lieutenant
Messages: 59
Awards: 2
Reputation: 1
Status: Offline
Mama: Mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula tayari
Mtoto: Sawa mama
Mtoto: Mama simpati
Mama: Bac subir kama baada ya dakika tano mpigie tena inawezekana ni mambo ya network hayo.
(baada ya 5 mins)
Mtoto: Mama mimi baba simpati simu yenyewe anapokea mwanamke.
Mama: Kha! Sawa mwanangu niachie mm hili swala wewe nenda kale.
(baada ya 30mins baba akabisha hodi akakaribishwa na bonge la kibao hajakaa vizur akapigwa sufuria mara mwiko ikawa balaa kwa kwenda mbele mme akazidiwa) majirani wakaja kuamulia ugomvi,kufka mme yuko chini ya sofa hoi bin taaban
Mama"------- zako wewe Kunifanyia mimi hivi unaenda kwa malaya zko kuniacha nyumbani?"
Mwanangu ebu wambie majirani yule mwanamke alipopokea simu
alisemaje?
Mtoto: Alisema, "Samahani mteja wa nambari uliyopiga hapatikani kwa sasa"
 
Forum » VITUKO NA BURUDANI/ ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » ENTERTAINMENT, COMMEDIES AND STORIES » hahaha Nimeikopi sehemu hii mh!
  • Page 1 of 1
  • 1
Search: