Home » Articles » HEALTH

Entries in category: 34
Shown entries: 4-6
Pages: « 1 2 3 4 ... 11 12 »

Sort by: Date · Name · Rating · Comments · Views

MADAWA YA KULEVYA


Madawa ya kulevya ni vitu ambavyo hutumiwa kwa njia ya kunywa, kula au hata kujichoma ambavyo baada ya kutumia hubadili akili au fikra za mtumiaji kuwa tofauti ba akili ya kawaida. Madawa haya hayatumiwi kwa lengo la kuleta tiba au manufaa katika mwili bali hutumiwa kwa lengo la kujistarehesha tu. Mfano wa madawa ya kulevya ni kama vile bangi, mirungi, pombe, cocaine na kadhalika. Read more ....

HEALTH | Views: 4650 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 10/Oct/2013 | Comments (0)

FAHAMU UMUHIMU WA SAIKOLOJIA YA ELIMU


Unaweza kuwa umeshawahi kusikia neno SAIKOLOJIA mara nyingi sana, Lakini hebu tufafanue zaidi kwa yule ambaye hafahamu maana yake. Kwa kifupi kwanza hili neno ambalo asili yake ni kigiriki likiwa na maana ya kwamba, saiko ni mambo yanayohusu akili au ubongo, na lojia ni mambo yanayohusu elimu. Hivyo kwa ujumla tunaweza kusema kwamba saikolojia ni elimu inayohusu mambo ya akili au ubongo. Read more .....

HEALTH | Views: 12139 | Author: Yahyou M. Yahya | Added by: Admin | Date: 29/Sep/2013 | Comments (0)

Nini maana ya Kufeli au kufa kwa moyo? (Heart failure) Na nini kisababishi?

 

Ingawa inaweza kuleta maana hiyo Lakini kufa kwa moyo haina maana kwamba moyo umeshindwa kufanya kazi au umefeli. Kufeli kwa moyo ni hali mbaya sana ambayo moyo hausukumi damu ipasavyo katika mwili. Upande wa kulia wa mgonjwa au kushoto au hata kotekote kunaweza kuathirika. Dalili zake hutegemea ni upande upi umeathirika na ni kwa kiasi gani kufeli kwa moyo kumejitokeza. Read more .......

HEALTH | Views: 3111 | Added by: Admin | Date: 19/Sep/2013 | Comments (0)