SEHEMU YA KUMI NA NNE

UCHEZAJI WA MARJANE

 

Kutoka sehemu ya kumi na tatu:

Baada ya kiongozi wa wezi kujifanya mfanya biashara mkubwa pale mjini na kupata umaarufu. Sasa afanya urafiki na kijana wa Alibaba ambaye ni Khalid muuza mazulia. Kutokana na urafiki wao kuwa ni wa ukaribu sana na hatimaye kuaminiana sana. Sasa Khalid aamua kumkaribisha kiongozi wa wezi ndani kwao........

Endelea sehemu ya Kumi na nne.

Alibaba alipomuona mgeni yul ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 606 | Added by: badshah | Date: 22/Dec/2017 | Comments (1)

SEHEMU YA KUMI NA TATU

JIHADHARI SANA ALIBABA!!!

 

Kutoka sehemu ya kumi na mbili:

Marjane agundua siri ya kiongozi wa wezi, kwa ujanja wake afanikiwa kuwauwa wezi wote thelathini na tisa bila ya kumjulisha yeyote ndani ya nyumba na bila hata ya vurugu yoyote kutokea ndani ya nyumba. Kiongozi wezi agundua kwamba wenzake wote wameshauliwa bila ya yeye kufahamu, sasa atambua kwamba hayuko salama ndani ya ile nyumba na kwa siri aamua kutoroka kwa kuruka ukuta wa nyuma ya nyumba ile. Alibaba asubuhi sa ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 642 | Added by: badshah | Date: 16/Dec/2017 | Comments (0)

SEHEMU YA KUMI NA MBILI

MARJANE NA MAFUTA

Kutoka sehemu ya kumi na moja:

Kiongozi wa wezi afanikiwa kuingia katika nyumba ya Alibaba na kutokana na mbinu zake Alibaba alimkaribisha kwa ukarimu kabisa na kupata chakula ch ausiku pamoja kwa furaha sana. Sasa alibaba na familia yote inaingia ndani kulala ila kiongozi wa wezi anaamua kuomba ruhusa ya kutoka uwani ili kupata hewa safi ya nje kidogo kabla ya kwenda kulala................

Endelea sehemu ya Kumi na ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 579 | Added by: badshah | Date: 11/Dec/2017 | Comments (0)

SEHEMU YA KUMI NA MOJA

WEZI THELATHINI NA TISA

Kutoka sehemu ya kumi:

Baada ya mpango wa mwizi wa pili kufeli, sasa kiongozi wa wezi akaamua kutumia mbinu zake mwenyewe kwenda kuitafuta nyumba ya ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 852 | Added by: badshah | Date: 01/Dec/2017 | Comments (1)

SEHEMU YA KUMI

Kutoka sehemu ya tisa:

Baada ya mpango wa mwizi wa kwanza kufeli, ikatokea mwizi wa pili kwenda kujaribu kuitafuta nyumba ya Kassim. Kwa utaratibu uleule, mwizi wa pili alimlipa Mustafa dhahabu ili apate msaada wa kupelekwa kwenye hiyo nyumba. Sasa safari hii mwizi wa pili aliweka alama ndogo sana nyekundu ambayo si rahisi kwa mtu kuiona na kwa furaha kabisa akarudi msituni kwenda kutoa taarifa kwa kiongozi wao.

... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 732 | Added by: badshah | Date: 17/Nov/2017 | Comments (1)

« 1 2 3 4 ... 7 8 »