SEHEMU YA TISA

Kutoka sehemu ya nane:

Sasa nyumba ya Kassim imeshajulikana na mwizi ambaye alikuja mjini kuitafuta, kutokana na kuwa nyumba zote za mtaa ule zilikuwa zikifanana, mwizi akaona ni njia nzuri aweke alama ya chaki kwenye mlango wa nyumba ya Kassim ili asipotee atakaporudi mara nyingine. Lakini hata hivyo, Marjane anakuja kuona alama hiyo na kuamua kuweka alama hiyohiyo katika kila mlango wa nyumba zote zilizopo katika mtaa ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 722 | Added by: badshah | Date: 05/Nov/2017 | Comments (8)

SEHEMU YA NANE

Kutoka sehemu ya saba:

Baada ya yule mwizi kuhangaika mchana kutwa na hatimaye kupumzika katika kijiduka cha fundi  mshona nguo, katika kujisifu utaalamu wake, fundi anajikuta anatoboa siri na kumfanya yule mwizi kuwa makini sana kutaka kujua habari hii.

ENDELEA SEHEMU YA NANE

Yule mwizi akamsogelea fundi kwa karibu za ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 654 | Added by: Admin | Date: 01/Nov/2017 | Comments (3)

SEHEMU YA SABA

DHAHABU ZAIDI KWA MUSTAFA

Kutoka sehemu ya sita:

Kwa siri kabisa, Alibaba na familia yake pamoja na mke wa Kassim na mfanya kazi wao Marjane walijitahidi kufanya siri kubwa sana juu ya kifo cha Kassim. Walifanya kila aina ya utaratibu wa mazishi na kuweza kufanikiwa kumzika Kassim. ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 646 | Added by: badshah | Date: 26/Oct/2017 | Comments (1)

SEHEMU YA SITA

MAZISHI YA KASSIM

Kutoka sehemu ya tano:

Alibaba aliamua kwenda msituni ili kumtafuta kaka yake, lakini kwa bahati mbaya akakuta kaka yake alishauliwa na wezi wale 40 na maiti ya kaka yake huyo kuning’inizwa juu ya pango ndani. Kwa huzuni kubwa sana Alibaba aliichukua maiti ile ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 669 | Added by: badshah | Date: 18/Oct/2017 | Comments (4)

SEHEMU YA TANO

Sura ya tatu

MAITI PANGONI

Kutoka sehemu ya nne:

Baada ya Kassim kwenda pangoni kwaajili ya kujipatia dhahabu na mali nyingi, kwa bahati mbaya alisahau neno la siri la kufungulia lango la pango wakati yuko ndani, hivyo alishindwa kutoka nje ya pango na hatimaye kukutwa na ... Read more »

Category: Stories & Entertainment | Views: 604 | Added by: Admin | Date: 13/Oct/2017 | Comments (4)

« 1 2 3 4 5 ... 7 8 »